Coca Cola YAZINDUA KAMPENI YA MCHANGA PEKEE LEO JIJINI DAR ES SALAAM - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Coca Cola YAZINDUA KAMPENI YA MCHANGA PEKEE LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurungenzi Mkuu wa Coca Cola Kwanza anaitwa Basil Gadzios Akiongea na mamia ya wakazi wa dar waliojitokeza katika kuunga mkono kampeni ya Mchanga Pekee.

 Leodegar Tenga, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Tanzania akitoa pongezi kwa Coca Cola Tanzania

Wafanyakazi wa Coca Cola Kwanza na Wananchi wengine waliojitokeza wakifanya mazoezi ya kuchangamsha mwili (Aerobics) mapema asubuhi.

Msanii na Balozi wa Coca Cola Kwanza Mrisho Mpoto (Mjomba) akitoa burudani na ujumbe kwa jamii iliyokusanyika hapa. Mkurungezi mtendaji wa EcoAct TanzaniaChristian Mwijage akielezea jinsi wanavyotumia Chupa za Plastic kutengenezea bidhaa mbalimbali, ikiwemo vibao vya tahadhari vya barabarani.

Bw. Geofrey Tengeneza, Afisa Uhusiano Mkuu wa TTB akiongea na wananchi kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira ya bahari.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Nipe Fagio.  Tania Hamilton,  akishiriki kusafisha fukwe ya Coco Beach

Mrisho Mpoto (kushoto) Basil Gadcious, Mkurugenzi mkuu wa Coca Cola Tanzania (Kati) na Tania Hami... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More