COCA-COLA YAZINDUA KINYWAJI KIPYA CHA SCHWEPPES +C - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

COCA-COLA YAZINDUA KINYWAJI KIPYA CHA SCHWEPPES +C

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa fedha wa Coca Cola Kwanza Bw. Erastus Mtui akifatiwa na Meneja Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Coca Cola Kwanza Bi. Josephine Msalilwa, Mkurugenzi wa Logistics Bw. Pankaj Singh pamoja na Mkurugenzi wa mawasiliano na Matukio ya kijamii Bw. Haji Ally wakiwa kwenye Uzinduzi wa Kinywaji Kipya cha Schweppes +C.Maneja Masoko na mauzo wa kampuni ya Coca Cola Kwanza Bi. Josephine Msalilwa akielezea kuhusu ladha tamu ya Kinywaji Kipya cha Schweppes +C
Kampuni ya Coca-Cola Tanzania, imezindua kinywaji kipya chenye ladha ya limao kinayojulikana kama Schweppes +C, ikiwa ni sehemu ya kuongeza machuguo ya bidhaa kwa wateja wake
Kinywaji cha Schweppes +C kinawalenga zaidi wateja wenye umri mkubwa.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Coca Cola Basil Gadzios, alisema kampuni yake imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye ugunduzi na kuongeza idadi ya bidhaa tofauti tofauti ikiwa na lenga la kukidhi mahitaji ya wateja tofaut... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More