Coutinho anashangaa watu Barcelona hawamtaki - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Coutinho anashangaa watu Barcelona hawamtaki

Ripoti za kutoka Hispania zinadai Coutinho anashangaa kuona hakuna ofa yoyote rasmi iliyoletwa huko Nou Camp kwa ajili ya kuhitaji huduma yake katika kipindi hiki cha uhamisho wa majira ya kiangazi huko Ulaya baada ya hapo awali jina lake kuhusishwa na Manchester United na Chelsea.


Source: MwanaspotiRead More