CRDB, Mmiliki wa Batco ‘wakaliwa’ kooni - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CRDB, Mmiliki wa Batco ‘wakaliwa’ kooni

MAHAKAMA Kuu kanda ya Mwanza, imetupilia mbali mapingamizi mawili yaliyowekwa na wakili wa upande wa mlalamikiwa namba mbili, mfanyabiashara wa mabasi ya Batco, Baya Kusaga Malagi kwenye kesi ya mauziano ya hoteli ya Tai Five ya jijini Mwanza. Anaripoti Moses mseti, Mwanza … (endelea). Kesi hiyo ya madai ya ardhi namba 46 ya mwaka  2017 ilifunguliwa ...


Source: MwanahalisiRead More