CROATIA BAADA YA KUICHAPA ENGLAND1-2 , SASA USO KWA USO NA UFARANSA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA 2018, URUSI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CROATIA BAADA YA KUICHAPA ENGLAND1-2 , SASA USO KWA USO NA UFARANSA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA 2018, URUSI

Timu ya Croatia yaichapa timu ya Uingereza na kujipatia tikiti yake ya kuingia katika fainali kombe la dunia la FIFA mwaka 2018
Baada ya kutofanikiwa 1998, Croatia imetua fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza kwenye historia yake.
Croatia itachuana na Ufaransa Jumapili Luzhniki Stadium. Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More