CUF Lipumba yakaza kamba - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CUF Lipumba yakaza kamba

WAKATI uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukiendelea kukaribia mwakani, Chama cha Wananchi (CUF) kambi ya Prof. Ibrahim Lipumba imeeleza kuwa, ‘atakaye ajiunge nao.’ Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Abdul Kambaya, Ofisa Habari na Mawasiliano ya Umma CUF kambi ya Prof. Lipumba ambaye ni mwenyekiti wa chama hicho amesema, wao wanasonga mbele na mikakati ya kusuka ...


Source: MwanahalisiRead More