CUF: Msajili wa Vyama afute ACT-Wazalendo - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CUF: Msajili wa Vyama afute ACT-Wazalendo

KISHINDO cha Maalim Seif Shariff Hamad kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo tayari kimeyumbisha chama chake cha awali, Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Jabir Idrissa … (endelea). Hatua ya maelfu ya waliokuwa wanachama wa CUF kuhamia ACT-Wazalendo baada ya Maalim Seif, aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF kujiunga nacho, imewasukuma CUF kuja na mkakati mpya. Sasa wanaitaka Ofisi ya ...


Source: MwanahalisiRead More