CUF:Sababu za Mtolea kuhama chama hazina maana.  - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CUF:Sababu za Mtolea kuhama chama hazina maana. 

Chama cha Wananchi(CUF), upande wa Profesa Ibrahim Lipumba, kimesema sababu zilizotolewa na aliyekuwa mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea kuhamia Chama cha Mapinduzi, hazikuwa na mashiko katika mwenendo wa siasa na hata kwa jamii kwa kua umeonyesha udhaifu wake katika siasa. Mkurugenzi wa Habari wa Chama cha Wananchi Abdul Kambaya, amesema kinachofanywa hivi sasa na wabunge


Source: Kwanza TVRead More