CUF ya Lipumba yamshutumu Julius Mtatiro kuwa ni Kibaraka wa CHADEMA - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CUF ya Lipumba yamshutumu Julius Mtatiro kuwa ni Kibaraka wa CHADEMA

Chama cha Wananchi (CUF), upande wa Prof Ibrahim Lipumba, wamewavua uanachama  wa CUFaliyekuwa mwenyekiti wa CUF wilaya ya Tanga Mjini na Diwani wa wa Kata ya mwanzange pamoja na madiwani wawili wa viti maalumwa Wilaya ya Tanga watokanao na chama hicho ambao ni Halima Juma Mbwana na Fatuma Maine Hamza. Akitoa taarifa hiyo Mwenyekiti wa


Source: Kwanza TVRead More