CUF yapigwa bao mapema Dar - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CUF yapigwa bao mapema Dar

MOHAMED Faki, mgombea udiwani katika Kata ya Vingunguti (CUF) Dar es Salaam ameanza kukaangwa mapema. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mawakala wa Faki wamezuiwa kuingia kwenye vyumba vya kupigia kura Jambo linalomwacha mdomo wazi. Mawakala wake watano amesema wamekataliwa kuingia kumsaidia kusimamia kura zake katika Kituo cha Upigaji Kura Cha Shule ya Msingi Miembeni kwa ...


Source: MwanahalisiRead More