Cyril Kamikaze akata ukimya, aachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la “Private” (+ Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Cyril Kamikaze akata ukimya, aachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la “Private” (+ Audio)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa mtindo wa kufoka rap Cyril Kamikaze  ameachia audio ya wimbo wake mpya unaoitwa “Private” wimbo huo umefanywa na producer  CYRILL KAMIKAZE ambaye ndio mwenye wimbo lakini akiufanyia katika studio ya  Tongwe records.
By Ally Juma.


The post Cyril Kamikaze akata ukimya, aachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la “Private” (+ Audio) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More