Dakika 45 zimebaki kuamua Kagera Sugar, Mwadui kubaki ama kushuka - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dakika 45 zimebaki kuamua Kagera Sugar, Mwadui kubaki ama kushuka

MECHI ya mwisho ya mchujo kati ya Kagera Sugar na Pamba inasubiri kipindi cha pili kujua nani atacheza Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya dakika 45 za mwanzo kumalizika kwa suluhu, mechi hiyo inachezwa uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba.


Source: MwanaspotiRead More