Daktari; Matumizi ya kucha na kope bandia yana madhara - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Daktari; Matumizi ya kucha na kope bandia yana madhara

Mjadala kuhusu urembo umeibuka Jumatatu mara baada ya Spika wa Bunge la Tanzania kupiga marufuku wanawake (wabunge na wageni) kuingia bungeni wakiwa wamebandika kucha na kope bandia akitaja sababu za kiafya.


Source: BBC SwahiliRead More