Dalali: Mnaosubiri Mo Dewji ajitoe Simba mtasubiri sana - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dalali: Mnaosubiri Mo Dewji ajitoe Simba mtasubiri sana

SIKU chache baada ya kuwepo taarifa kwamba Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji huenda akaachana na klabu hiyo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali ameibuka na kutamka kuwa wanaosubiri mwekezaji wao kuachia ngazi watasubiri sana.


Source: MwanaspotiRead More