Daniel James risasi ya kwanza ya Solskjaer katika usajili - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Daniel James risasi ya kwanza ya Solskjaer katika usajili

Ingawa James hakucheza lakini bado kiwango chake kiliishawishi Swansea kumpa mkataba wa miaka mitatu. Aliwekwa katika benchi katika pambano la Ligi Kuu dhidi ya Stoke.


Source: MwanaspotiRead More