DAR ES SALAAM IPO SALAMA - KAMANDA MAMBOSASA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DAR ES SALAAM IPO SALAMA - KAMANDA MAMBOSASA

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerereleo kuhusiana na hali ya usalama kuelekea Mkutano wa SADC. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania limesema kuanzia kesho Jumatano litaimarisha ulinzi kwa kutumia vikosi vyote vya doria ikiwemo mbwa, farasi na helicopter ili kuhakikisha mkutano wa 39 Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unamalizika salama.
Doria hiyo inaanza kesho ambapo Tanzania itampokea kiongozi wa kwanza kuwasili, Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Agosti 13, 2019 jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Kanda hiyo, Lazaro Mambosasa amesema doria hiyo ni sehemu ya maandalizi ya kuwapokea wakuu wa nchi 15 ambao wote wamedhibitisha kuhudhuria mkutano huo.
"Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More