Dar es salaam yaongoza matokeo darasa la saba, ufaulu wa somo la Kiswahili washuka - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dar es salaam yaongoza matokeo darasa la saba, ufaulu wa somo la Kiswahili washuka

Katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Charles Msonde ametangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi huku kukiwa na ongezeko la ufaulu katika masomo ya Maarifa ya jamii, Sayansi, Hisabati na Kiingereza na ufaulu wa  somo la Kiswahili umeshuka ukilinganisha na wa mwaka jana.



Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwakufanya vizuri kati ya mikoa 10 bora kitaifa kiufaulu kwa kuwa na watahiniwa waliopata alama nyingi kwenye masomo matano. Ukifuatiwa na Geita, Arusha, Kilimanjaro, Kagera, Mwanza, Iringa, Mtwara, Katavi na Njombe.


Ambapo Baraza hilo pia limefuta matokeo yote ya wanafunzi 357 waliobanika kuhusika na udanganyifu na kuzuia kutoa matokea ya watahiniwa 120 ambao walikuwa wakiumwa na watafanya mtihani mwaka 2019.


Kwa mujibu wa NECTA, ufauli katika masomo ya English Language, Maarifa ya Jamii, Hisabati na sayansi umepanda kwa asilimia kati ya 4.03 na 11.92 ukilinganisha na mwaka jana, Huku ufaulu katika somo la Kiswahili ukishuka kwa asilimia 1.44.


Kwa mwaka huu, watahiniwa wa... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More