Dar zaingia pedi ambazo pia wanaume watatakiwa kuzitumia (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dar zaingia pedi ambazo pia wanaume watatakiwa kuzitumia (Video)

Pedi hizo za aina yake zimeingia nchini kupitia kampuni ya Longrich na watumiaji wakuu ni akina mama ambao wanakwenda siku zao za hedhi pamoja na kupata matatizo mbalimbali ya uzazi pamoja na wanaume ambao wanasumbuliwa na tezi na watazivaa kama wanavyozivaa wanawake na nguo zao za ndani.The post Dar zaingia pedi ambazo pia wanaume watatakiwa kuzitumia (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More