Daraja la Salenda kupitia baharini kukamilika 2021 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Daraja la Salenda kupitia baharini kukamilika 2021

MTENDAJI  Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale amesema, daraja la Salenda linalopitia baharini Coco Beach – Aga Khan, linatarajiwa kukamilika tarehe 14 Oktoba 2021 kama ilivyopangwa. Anaandika Hamis Mguta … (endelea). Mfugale ametoka kauli hiyo mbele ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam aliyefanya ziara ya kutembelea ujenzi huo ...


Source: MwanahalisiRead More