Darasa Ajipanga Kutoa Album, Msanii Avril Kutoka Kenya Ndani. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Darasa Ajipanga Kutoa Album, Msanii Avril Kutoka Kenya Ndani.

Habari zinazosambaa katika mitandao ni kwamba pamoja na kwamba msanii wa hip hop nchini, Darasa kukaa kimya lakini kuna uwezekano mkubwa kuwa hivi karibuni anategemea kutoa album yake ambayo itasambaa mitandaoni.


katika album hiyo amabyo alianza kuiandaa tangu mwaka 2017 inawasanii wengine wakubwa lakini pia kwa habari za kuaminika ni kuwa pia kutakuwepo na mwanadada Avril kutoka Kenya ambae anafanya vizuri nchini humo.


pamoja na kwamba mashabiki wa Darasa wamekuwa wakilalamika kla siku kuhusu ukimya wa mwanadada huyo lakini hii inaweza kuwa ni habari njema na ya kufurahishwa kwa mashabiki hao hasa kutokana na ujio wake mpya ambao utakuwa mkubwa.


The post Darasa Ajipanga Kutoa Album, Msanii Avril Kutoka Kenya Ndani. appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More