Darasa anatuambia kama huna jipya kaa kimya - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Darasa anatuambia kama huna jipya kaa kimya

ZIPO sauti nyingi zinaulizia ukimya wa Darasa. Wanahoji mbona hatoi ngoma mpya? Sababu ya kuuliza hivyo ni kwa sababu kipo kipindi Darassa alilichukua soko la muziki Bongo na kuliweka mabegani kwake, kisha akaenda nalo mpaka maskani kwake Kiwalani, Dar.


Source: MwanaspotiRead More