DART yatoa tamko kuhusu hujuma za madereva wa Udart - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DART yatoa tamko kuhusu hujuma za madereva wa Udart

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema madereva wa kampuni ya mtoa huduma, (Udart) waliohusika kufanya hujuma ya kuzuia mabasi yaliyokuwa yameegeshwa katika karakana ya Jangwani, na kusababisha adha ya usafiri siku ya Jumatano ya Oktoba 10 2018, wamechukuliwa hatua. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kupitia tamko lake iliotoa leo tarehe 12 Oktoba 2018, DART ...


Source: MwanahalisiRead More