Data za akaunti milioni 210 za Watumiaji wa Facebook zavuja - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Data za akaunti milioni 210 za Watumiaji wa Facebook zavuja

Data za akaunti milioni 210 za watumiaji wa mtandao wa Facebook zavuja baada ya kudukiliwa na taarifa za akaunti zao zinapatikana kwa urahisi mtandaoni. Jumla ya data zilizowekwa wazi zinaonesha ni data zinazohusisha akaunti milioni 419 ila msemaji wa Facebook amesema baada ya kuzipitia wamegundua ni milioni 210 tuu na huku akidai data hizo nyingi [...]


The post Data za akaunti milioni 210 za Watumiaji wa Facebook zavuja appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More