David de Gea huenda akawa kipa bora zaidi kuwahi kuichezea Man Utd, anasema Ole Gunnar Solskjaer - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

David de Gea huenda akawa kipa bora zaidi kuwahi kuichezea Man Utd, anasema Ole Gunnar Solskjaer

Mhispania huyo mwenye miaka, 28, aliokoa mipira 11 na kuwawezesha United kuwalaza Tottenham 1-0 katika mechi iliyochezewa uwnaja wa Wembley.


Source: BBC SwahiliRead More