DAVID LUIZ ATUA ARSENAL KWA DAU LA PAUNI MILIONI 7 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DAVID LUIZ ATUA ARSENAL KWA DAU LA PAUNI MILIONI 7

Beki David Luiz akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 7 kutoka Chelsea akisaini mkataba wa miaka miwili kwenda kufanya tena kazi na kocha Unai Emery - ambaye awali alikuwa naye  PSG nchini Ufaransa Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More