Davido aliahidi kunipa mil. 50 atembee na shemeji yangu – Atoboa siri mpiga picha maarufu nchini Nigeria - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Davido aliahidi kunipa mil. 50 atembee na shemeji yangu – Atoboa siri mpiga picha maarufu nchini Nigeria

Mpiga picha wa kiume maarufu nchini Nigeria, ambaye anatumia jina la @iamtberry kwenye mitandao ya kijamii ameamua kuchafua hali ya hewa nchini humo baada ya kuonesha charts za yeye na Davido zikionesha mnyamwezi Davido akimshawishi amkowadie shemeji yake.Berry kwenye posti zake aliibua maswali mengi ambapo watu wengi waliona kama ni kitendo cha kumharibia Davido mahusiano yake mapya, jambo ambalo lilimulazimu azifute posti hizo mtandaoni.


Berry aliandika kuwa mapema mwa mwezi Juni aliposti picha ya shemeji yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na muda mfupi baadae Davido akaja DM akihitaji jina la shemeji yake ambalo anatumia mtandaoni (username).


Berry anasema alimdanganya Davido kuwa mrembo huyo hayupo kwenye mitandao ya kijamii na bado ni mwanafunzi na ni shemeji yake, ndipo Davido alipoanza kumshawishi kwa hela akiahidi kumpa Naira milioni 7 sawa na Ths milioni 51 lakini alimkatalia.


Aliongeza kuwa angewasafirisha wawili hao mpaka Nigeria kutoka Marekani ambako alikuwa anafanyia... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More