Davista Afurahishwa na Ukaribu wa Jux na Diamond. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Davista Afurahishwa na Ukaribu wa Jux na Diamond.

Msanii mpya katika game la muziki ambae ameachia ngoma inayokwenda kwa jina la super woman amefunguka na kusema kuwa amekuwa akifurahishwa sana na ukaribu wa Diamond na Jux kwa sasa na ana imani wanaweza kufanya kazi pamoja.


Davista anasema kuwa mara nyingi katika mitandao ya kijamii wamekuwa wakiwashindanisha wasanii hawa katika mavazi na kuimba nyingi zenye kuibua hisia kitu ambacho kiliwafanya wasanii hawa kuonekana kama wana bifu lakini kumbe sio.


Akiongea na meda, msanii huyo anaefananshwa sana na tkno kutoka Nigeria anasema pia anapongeza sana swala la WCB kuleta jibebe challenge ambayo anaona kuwa itasaidia kuwafichua vijana wenye vipaji waliopo mtaani lakini pia anaomba kusapotiwa katika kazi zake za muziki.


The post Davista Afurahishwa na Ukaribu wa Jux na Diamond. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More