Dawa ya watoto wenye baba zaidi ya mmoja yapatikana  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dawa ya watoto wenye baba zaidi ya mmoja yapatikana 

Kaimu Meneja wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), Patricia Mputa amesema kuwa wataanza upimaji wa vinasaba (DNA) katika kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wanaodhaniwa kuwa na baba zaidi ya mmoja hayo yakijiri baada ya kuulizwa swali la kutaka kujua hatima ya watoto wanaosajiliwa na kupewa vyeti vya kuzaliwa kisha baadae inathibitika kuwa kuna baba mwingine hambaye hakutajwa kwenye cheti.Moja ya picha inayoonyesha mashine inayotumiwa katika uchambuzi wa DNA! Hii ni mashine ya PCR.


Meneja huyo wa Rita, Patricia ametoa kauli hiyo wakati wa mkutano baina ya watendaji wa Rita na viongozi wa Mkoa wa Kagera hapo jana.


Amesema utata wa nani baba halisi wa mtoto utamalizwa na vipimo vya vinasaba kwakuwa baadhi ya wanawake huandikisha majina ya baba wasiyo sahihi kwenye vyeti vya watoto.


”Kwa sababu wanazozijua wenyewe, wakati mwingine wanawake huandikisha majina ya baba mwingine ambaye si halisi kwenye cheti, lakini hilo huthibitishwa kwa DNA,’’ amesema Patricia.


Hata hiv... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More