DAWASA KUWARUDISHA WATEJA 10,000 KATIKA KAMPENI YA 'TUNAWAHITAJI' - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DAWASA KUWARUDISHA WATEJA 10,000 KATIKA KAMPENI YA 'TUNAWAHITAJI'

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) , Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam wakati alipokutana nao kuelezea malengo yao tokea wameingia katika DAWASA mpya ambayo imeziunganisha mamlaka mbili. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa DAWASA, Nelly Msuya akitoa machache.
Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) imezindua kampeni mpya iitwayo 'Tunawahitaji' ambayo italenga kuwarudishia maji wateja waliokatiwa kutokana na kushindwa kulipa bili (wadaiwa sugu).
Akizungumza na  wanahabari jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa, Mhandisi Cyprian Luhemeja amewsema kampeni hiyo ina lengo la kuwarudishia maji wale wote waliokatiwa kutokana na kutokulipa bili kwa muda mrefu.
"Nimewaagiza mameneja wawarudishie maji wote halafu walipe bili za mwezi mmoja na baada ya hapo wakubaliane watalipa kwa miezi mingapi madeni ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More