DAWASA YAANZA USAJILI MAGARI YANAYOTOA HUDUMA YA KUUZA MAJISAFI DAR NA PWANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DAWASA YAANZA USAJILI MAGARI YANAYOTOA HUDUMA YA KUUZA MAJISAFI DAR NA PWANI

 Afisa Mawasiliano wa DAWASA Joseph Mkonyi (kulia) akibandika moja ya magari ambayo yaliletwa kwenye usajili ili kuweza kuendelea kutoa huduma ya kuuza majisafi jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo limefanyika kituo cha Chuo Kikuu Ardhi nyenye matanki ya DAWASA maarufu kama Terminal. Anayeshuhudia ni dereva wa gari hilo. Afisa Mawasiliano wa DAWASA Joseph Mkonyi (kulia) akitoa maelekezo kwa dereva mara baada ya kumaliza zoezi la ubandikaji wa stika ili kuweza kuendelea kutoa huduma ya kuuza majisafi jijini Dar es Salaam. Afisa Mawasiliano wa DAWASA Joseph Mkonyi (kulia) akitoa maelekezo cheti cha utambuzi kwa kwa dereva mara baada ya kumaliza zoezi la ubandikaji wa stika ili kuweza kuendelea kutoa huduma ya kuuza majisafi jijini Dar es Salaam. Magari yakipata yakijaziwa maji tayari kwenda kuuza. Picha zote na Cathbert Kajuna - 
Kajunason/MMG. Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
 Mamlaka ya Majisafi na MajiTaka Dar es Salaam (DAWASA) limeanza kutekeleza zoezi la usajili na utoaji wa vibal... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More