DAWASA YAMALIZA WIKI YA MAJI KWA KISHINDO: WAKAZI WA SARANGA WATEMBEA KIFUA MBELE KWA MAJI SAFII NA SALAMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DAWASA YAMALIZA WIKI YA MAJI KWA KISHINDO: WAKAZI WA SARANGA WATEMBEA KIFUA MBELE KWA MAJI SAFII NA SALAMA

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es S  alaam Kisare Makori (kushoto) akimpongeza Kaimu Mkurugenzi wa miradi DAWASA Lydia Ndibalema kwa kuweza kufanikisha uwekaji wa bomba eneo la Saranga jijini Dar es Salaam. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Kisare Makori (kushoto) akimpongeza Kaimu Mkurugenzi wa miradi DAWASA Lydia Ndibalema kwa kuweza kufanikisha uwekaji wa bomba eneo la Saranga. Wengine wa kwanza kushoto ni Meneja Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Neli Msuya.Hitimisho la Wiki ya Maji Duniani, Mamlaka ya MajiSafi na MajiTaka (DAWASA) wamewapa furaha wakazi wa Saranga na maeneo jirani kwa kuwapatia maji safi na salama.
Akizungua wakati wa kuzindua mradi wa kuwasambazia maji wakazi wa Saranga Mkuu wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Kisare Makori amesema kuwa amefurahishwa jinsi DAWASA walivyoweza kuwapa furaha wakazi hao wa Saranga kwa kuwapatia maji ambayo watakuwa wakiyapa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More