DAWASA YATATUA TATIZO LA MAJI KATA YA MADALE NA VITONGOJI VYAKE JIJINI DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DAWASA YATATUA TATIZO LA MAJI KATA YA MADALE NA VITONGOJI VYAKE JIJINI DAR

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wakati alipotembelea Tenki la maji la Wazo na kuwahakikishia Watapata maji kama walivyoahidiwa na Afisa Mtendaji wa DAWASA. Picha zote na Cathbert Kajunason/MMG. Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza mbele ya wananchi wa Tegeta Wazo na kuwahakikishia maji safi na salama kufikia leo usiku. Mmoja ya wananchi akitoa shukrani mara baada ya kumaliza mkutano.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja (wa pili toka kushoto) akiw ana wananchi wakikagua maji yaliyokuwa yakitolewa katika tanki la maji ili kuweza maji safi tayari kuwasambazia wananchi.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakishuka kutoka katika tanki la maji. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More