DAWASA YATUMIA WIKI YA MAJI DUNIANI KUTATUA KERO ZA MAJI KWA WANANCHI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DAWASA YATUMIA WIKI YA MAJI DUNIANI KUTATUA KERO ZA MAJI KWA WANANCHI

Mtoa hudua katika wiki ya Maji Duniani toka Mamlaka ya majiSafi na MajiTaka (DAWASA) Tumaini Samwel akitoa elimu kwa mmoja ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam aliyejitokeza katika viwanja vya Mnazi Mmoja katika maadhimishpo ya wiki ya Maji Dunia iliyoanza leo Machi 16- 22, 2019 ambapo wananchi wanajitokeza kutoa matatizo ya pamoja na kupewa elimu juu yamatumizi sahihi ya maji na utunzaji wa vyanzo vya maji. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Watoa huduma katika wiki ya maji Clementina Mbogellah (Kushoto) na Neema Mbalamwezi wakitoa elimu kwa mmoja ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam aliyejitokeza katika viwanja vya Mnazi Mmoja katika kuadhimisha wiki ya Maji Dunia iliyoanza Machi 16- 22, 2019.Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa DAWASA, Evelasting Lyaro akitoa elimu kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya maji Duniani inayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.Burudani za amsha amsha wiki ya maji Duniani zikiendelea katika mitaa mbali mbali ya jiji la D... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More