DC afunga viwanda vya Wachina Kibaha - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC afunga viwanda vya Wachina Kibaha

SERIKALI imevifunga viwanda viwili vya wachina vilivyoko Kibaha mkoa wa Pwani vinavyojihusisha na utengenezaji wa nondo na uzalishaji wa malighafi ya kutengenezea Gypsum kutokana na kukiuka sheria na taratibu juu ya usalama mahala pa kazi. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Assumpter Mshama, Mkuu wa Wilaya ya Kibaha amechukua uamuzi wa kuvifunga viwanda hivyo baada kubaini ...


Source: MwanahalisiRead More