DC ARUMERU AWAFARIJI WANANCHI WA KATA YA MBUGUNI ILIYOKUMBWA NA MAFURIKO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC ARUMERU AWAFARIJI WANANCHI WA KATA YA MBUGUNI ILIYOKUMBWA NA MAFURIKO

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh Jerry Muro akigawa msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo mablanketi kwa mmoja wa waathiriwa na mafuriko kutoka kijiji cha Mbuguni,ambao walikumbwa na adha ya mafuriko Aprili mwaka huu.DC Muro akikabidhi msaada wa vifaa vya usafi kwa mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya mbuguniMkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh Jerry Muro akizungumza na Wakazi wa Mbuguni mara baada ya kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa waathiriwa wa mafuriko waishio katika kijiji hichoBaadhi ya vifaa mbalimbali vilivyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh Jerry Muro,ikiwa ni sehemu ya msaada wa vifaa mbalimbali kama vile mablanketi,vifaa vya kufanyia usafi kwa wanafunzi wa shule, Magodoro na vinginevyo kwa waathiriwa na mafuriko kutoka kijiji cha Mbuguni waliokumbwa na adha hiyo Aprili mwaka huu.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh Jerry Muro amefanya ziara kata ya Mbuguni, iliyokumbwa na changamoto ya mafuriko Aprili Mwaka huu, ambapo amewatembelea wananchi waliokumbwa na mafuriko hayo na kuwafariji kwa kuto... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More