DC JOKATE APONGEZWA NA WADAU WA MAENDELEO KWA KUANZISHA KAMPENI YA TOKOMEZA ZIRO KWA WANAFUNZI WILAYANI KISARAWE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC JOKATE APONGEZWA NA WADAU WA MAENDELEO KWA KUANZISHA KAMPENI YA TOKOMEZA ZIRO KWA WANAFUNZI WILAYANI KISARAWE

VICTOR MASANGU,KISARAWE 
WADAU mbali mbali wa maendeleo hapa nchini katika kuunga juhudi za Rais wa awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli katika kuboresha sekta ya elimu wamempongeza na kumuunga mkono mkuu mpya wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo kwa kuweza kuanzisha kampeni maalumu kwa ajili kutokomeza ziro kwa wanafunzi wa shule za sekondari kwa lengo la kuweza kuongeza kasi ya kiwango cha ufaulu.

Pongezi hizo wamezitoa wakati wa halfa fupi ambayo iliandaliwa na mkuu huyo wa wilaya kwa lengo la kuweza kuchangia fedha katika sekta ya elimu ambazo zitaweza kuwa mkombozi mkumbwa katika kuwasaidia wanafunzi kuweza kufanya vizuri katika masomo yao husaani pindi wanapomaliza katika kidato cha nne.

Wakizungumza katika hafla fupi ya uchangiaji wadau wa maendeleo akiwemo Mohameda Kilumbi ambaye pia ni diwani wa wa kata ya Kibuta pamoja na Hamisa Mobeto wamesema kwamba wameamua kuchangia kwa hali na mali katika sekta ya elimu kwa lengo la kuweza kuborsha sekta ya ... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More