DC Jokate atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC Jokate atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Mwegelo akiwa na Ester Simon baada ya kumtembelea leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako pacha walifanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha kutokana na kuzaliwa wakiwa wameungana. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo akisalimiana na Ester Simon baada ya kumtembelea wodini leo. Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Prof. Lawrence Museru akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo mara baada ya kuwatembelea watoto pacha leo.Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Museru na Sister Ester Mwambogoja. ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More