DC KASESELA ALIAGIZA JESHI LA POLISI IRINGA KUMKATA AYUBU MWENDA POPOTE ALIPO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC KASESELA ALIAGIZA JESHI LA POLISI IRINGA KUMKATA AYUBU MWENDA POPOTE ALIPO

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akimpigia simu mkuu wa polisi wilaya ya Iringa (OCD) kuhakikisha anamkamata popote alipo Ayubu Mwenda ambaye anasababisha mgogoro wa shamba la familia ya mzee MwendaMkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akitoa maelezo kwa familia ya marehemu mzee Mwenda katika kata ya Nduli mkoani Iringa.Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amemuagiza mkuu wa polisi wilaya ya Iringa (OCD) kuhakikisha anamkamata popote alipo Ayubu Mwenda kwa kuika makubaliano ya kuumaliza mgogoro huo. NA FREDY MGUNDA, IRINGA.
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amemuagiza mkuu wa polisi wilaya ya Iringa (OCD) kuhakikisha anamkamata popote alipo Ayubu Mwenda ambaye anasababisha mgogoro wa familia ya Mwenda kwa kumkimbia mkuu wa wilaya na kamati yake walipokifika kusuhisha mgogoro huo.
Akizungumza kwenye shamba la familia mzee Mwenda Kasesela alisema kuwa Ayubu Mwenda ameleta dharau kwa kukimbia katika eneo usika la kutatua mgogoro ambao ameusababisha kwa makusudi kwa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More