DC KASESELA MAJANGIRI HAWANA NAFASI KUFANYA UHARIFU KWENYE MBUGA ZA WILAYA YA IRINGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC KASESELA MAJANGIRI HAWANA NAFASI KUFANYA UHARIFU KWENYE MBUGA ZA WILAYA YA IRINGA

Mkuu wa wilaya ya Iringa ambaye ni Mwenyekiti wa baraza la maliaasili na misitu Richard Kasesela wamejipanga kuwadhibiti majangili wote na akiwa ameshika silaha bora ambazo wanazitumia walinzi wa hifadhi Village Game Scouts ambao wanafadhiliwa na shirika la STEPSMkuu wa wilaya ya Iringa ambaye ni Mwenyekiti wa baraza la maliaasili na misitu Richard Kasesela akiwa pamoja na katibu tawala wa wilaya ya Iringa Hashimu Komba wakiwa kwenye picha moja na viongozi na walinzi wa hifadhi Village Game Scouts MKUU wa wilaya ya Iringa ambaye ni Mwenyekiti wa baraza la maliaasili na misitu Richard Kasesela wamejipanga kuwadhibiti majangili wote ambao wamekuwa wakifanya uharifu kwenye maliasili na misitu iliyopo katika wilaya hiyo.
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
MKUU wa wilaya ya Iringa ambaye ni Mwenyekiti wa baraza la maliaasili na misitu Richard Kasesela wamejipanga kuwadhibiti majangili wote ambao wamekuwa wakifanya uharifu kwenye maliasili na misitu iliyopo katika wilaya hiyo.
Akizungumza wakati alipofan... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More