DC KINONDONI AAHIDI KUTATUA KERO YA BARABARA KRINIKI YA HEAMEDA, DKT MENGI AMFAGILIA DK MWANDOLELA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC KINONDONI AAHIDI KUTATUA KERO YA BARABARA KRINIKI YA HEAMEDA, DKT MENGI AMFAGILIA DK MWANDOLELA

Mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Kiliniki ya Heameda Dk.Reginald Mengi akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kiondoni Mh. Daniel Chongolo wakati wa uzinduzi wa Kliniki ya Heamed leo jijini Dar es Saalam.katikati ni mmiliki wa kliniki hiyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Dk.Hery MwandolelaMgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Kiliniki ya Heameda Dk.Reginald Mengi akikata utepe kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa Kliniki ya Heameda leo jijini Dar es Saalam.Anayeshangilia mmiliki wa kliniki hiyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Dk.Hery MwandolelaMgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Kiliniki ya Heameda Dk.Reginald Mengi akifunua kitambaa baada ya kukata utepe kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa Kliniki Heameda leo jijini Dar es Saalam.Anayeshirikiana naye ni mmiliki wa kliniki hiyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Dk.Hery Mwandolela na anayepiga makofi kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kiondoni Mh. Daniel Chongolo.Mwenyekiti wa Kampuni za IPP Dk.Regenald ambaye alikuwa mge... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More