DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE

1Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mwenge alipokutana nao kwenye ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo kulia ni Kazi Maduhu Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni na kushoto ni Mweka hazina wa Manispaa hiyo Bw. Max Tabonwa.2Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo akimsikiliza Kazi Maduhu Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni wakati akitoa ratiba ya kikao cha mkuu huyo wa wilaya ya wafanyabiashara, kushoto ni Mweka hazina wa Manispaa hiyo Bw. Max Tabonwa. 3Mmoja wa wamiliki wa majengo katika eneo la soko la mwenge akichangia hoja katika mkutano huo. 4Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa katika mkutano huo. 5Mmoja wa wafanyabiashara akizungumza katika kikao hicho.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More