DC KOROGWE AWAONYA WAANDIKISHAJI NA WAANDAAJI WA ORODHA YA WAPIGA KURA NI WALE WATAKAOBAINIKA KUWAANDIKISHA RAIA WA KIGENI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC KOROGWE AWAONYA WAANDIKISHAJI NA WAANDAAJI WA ORODHA YA WAPIGA KURA NI WALE WATAKAOBAINIKA KUWAANDIKISHA RAIA WA KIGENI

 MKUU wa wilaya ya Korogwe Kissa Gwakisa akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa waandikishaji na waandaaji wa orodha ya wapiga kuwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 ambapo aliwataka wawe makini ili wasijikute wameingia matatani kulia ni Afisa Tarafa ya Korogwe Michael John kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Korogwe mji Kassim Kaoneka Afisa Tarafa ya Korogwe Michael John akizungumza kwenye mafunzo hayo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe Kissa Gwakisa  Mwanasheria wa Halamshauri ya Korogwe mji Mwanasheria wa Halmashauri ya Korogwe mji Madgalena John akizungumza wakati wa mafunzo hayo  Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Korogwe mji Kassim Kaoneka akizungumza kulia ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe Kissa Gwakisa Sehemu ya waandikishaji na waandaaji wa orodha ya wapiga kura Korogwe wilayani Korogwe wakiwa kwenye mafunzo hayo Sehemu ya waandikishaji na waandaaji wa orodha ya wapiga kura Korogwe wilayani Korogwe wakiwa kwenye mafunzo hayo


 MKUU wa wilay... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More