DC MUHEZA AWATAKA WAZAZI NA WALIMU KUHAKIKISHA KILA MTOTO ANAKUWA NA MTI MMOJA NYUMBANI NA SHULENI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC MUHEZA AWATAKA WAZAZI NA WALIMU KUHAKIKISHA KILA MTOTO ANAKUWA NA MTI MMOJA NYUMBANI NA SHULENI


MKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kilele cha Wiki ya Mazingira Duniani ambayo wilayani imefanyika katika Kijiji cha Kimbo kata ya Potwe Tarafa ya Bwembwera. Mkurugenzi wa Mazingira Wizara Maji Obadia Kibona akizungumza wakati wa maadhimisho MKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo akipanda miti kwenye maadhimisho hayoMeza kuu wakifuatilia matukio mbalimbaliSehemu ya wananchi wakifuatilia matukio hayoMKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanaasha Tumbo amewataka wazazi na na walimu kuhakikisha kila mtoto anakuwa na mti mmoja shule na nyumbani ikiwa ni kampeni endelevu ya uhifadhiwa wa mazingira 
Amesema kuwa utekelezaji wa agizo hilo utaweza kuendesha kampeni endelevu ya uhifadhi wa Mazingira na vyanzo vya maji jambo ambalo litasaidia uwepo wa miti ya kutosha kwenye maeneo yenye vyanzo hivyo 
Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya kilele cha Wiki ya Mazingira Duniani ambayo wilayani imefanyika katika Kijiji ch... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More