DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI ARUMERU. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC MURO AENDELEA KUKABILIANA NA KERO ZA MAJI ARUMERU.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro ameendelea kutatua kero ya Maji katika kata ya Tarakwa Halmashauri ya ARUSHA iliyo Wilaya ya Arumeru, Kwa kuweka Ubunifu wa kuunganisha wadau mbalimbali wa Maendeleo Wilayani Arumeru na kuwaomba kuungana nae katika kuleta Suluhu ya muda mfupi itakayosaidia kupatikana Kwa Maji wakati Serikali inaendelea na Mpango wa ujenzi wa Miundombinu itakayoleta Maji ya kudumu katika kata ya Tarakwa.
Dc Muro amewaeleza wadau hao kuwa wananchi wanachotaka ni Maji yawe yanakuja Kwa mpango wa muda mfupi au mrefu wao haiwahusu cha Msingi ni kuhakikisha Maji yanapatikana Kwa Njia yoyote ili kusaidia kina Mama na wasichana pamoja na Vijana wanaozunguka umbali mrefu kutafuta Maji badala ya kuendelea na shughuli za kuwaletea Maendeleo 
Dc Muro amefanikiwa kuwashawishi wadau na kumuunga mkono Kwa kutoa Malori yenye maboza ya Maji na kisha kuwayapeleka Kwa wananchi wenye uhitaji katika kata ya Tarakwa.
Nao baadhi ya Wananchi Waliokuwa na Uhitaji wa Haraka wa Maji wamepon... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More