DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU

Mkuu wa Wilaya huyo Ndugu Jerry Muro akizsisikiliza changamoto za Wananchi zaidi ya 260 katika kata ya bwawani Halmashauri ya Arusha , wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa kwenye hatari ya kusombwa na mafuriko kufuatia nyumba zao kuanza kutitia chini ya Ardhi .Mkuu wa Wilaya huyo Ndugu Jerry Muro akizsisikiliza changamoto za Wananchi zaidi ya 260 katika kata ya bwawani Halmashauri ya Arusha , wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa kwenye hatari ya kusombwa na mafuriko kufuatia nyumba zao kuanza kutitia chini ya Ardhi .
Wananchi zaidi ya 260 katika kata ya bwawani Halmashauri ya Arusha , wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa kwenye hatari ya kusombwa na mafuriko ambapo zaidi ya nyumba 100 zilianza kutitia chini ya ardhi wamesaidiwa na Mkuu wa Wilaya huyo Ndugu Jerry Muro kutolewa katika makazi yao ya awali ambayo yalikuwa hatarishi na kupelekwa katika maeneo mengine mazuri na Salama .
Wakizungumza katika ziara maalumu ya Mkuu wa wilaya Hiyo Ndugu Jerry Muro,wananchi hao wamee... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More