DC MURO APONGEZA CHUO CHA UHASIBU,AWAELIMISHA UMUHIMU WA KUSOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC MURO APONGEZA CHUO CHA UHASIBU,AWAELIMISHA UMUHIMU WA KUSOMA

Na Woinde Shizza, Michuzi Tv,Arusha 
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro amefurahishwa na kazi zinazofanywa na Chuo cha Uhasibu Arusha,amekiomba chuo hicho kuendelea kuwaandaa vijana kitaaluma na kivitendo ili kuja kupambana katika changamoto ya soko la ajira. 
Muro liyasema hayo chuoni hapo wakati akifunga maonyesho ya nadharia na vitendo ya kitaaluma yaliyoshirikisha shule 18 za sekondari mkoani hapa ambapo alitumia Muda huo kukipongeza na kukisifu chuo hicho kwa kutoa elimu mbalimbali pia kuwahamasisha vijana waliopo kidato cha nne kusoma kwa bidii ili waweze kufaulu na kujiunga na elimu ya chuo .
Aidha alifafanua kuwa chuo hicho kimefanya ubunifu mkubwa wa kushirikisha vijana wa sekondari za mkoa wa Arusha kuona kazi mbalimbali zinazofanywa na chuo hicho kwani kwakufanya hivyo wanawaandaa Vijana hao wa sekondari kwa ajili ya kujiunga na elimu ya vyuo vikuu kwa baadaye. 
"Hapa kuna wanasayansi, uchumi, watu wa mapambo na upishi wa keki hii yote ni lengo la chuo kuwawezesha vij... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More