DC MURO NA JESHI LA POLISI WAPAMBANA USO KWA USO WATIAJI MIMBA MABINTI WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DC MURO NA JESHI LA POLISI WAPAMBANA USO KWA USO WATIAJI MIMBA MABINTI WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari ili kuweka sawa wale wote aliokamata.
Mama mzazi wa binti aliyekamatwa kumtoa mimba binti yake.
Na Imma Msumba Arumeru.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru kwa kushirikiana na Jeshi la polisi Wilaya ya Arumeru limewakamata watuhumiwa wa Tatu ambao wameshiriki kumtoa mimba mwanafunzi wa kidato cha nne kwa kutumia dawa za miti shamba suala ambalo linachochea mimba kwa wanafunzi na kuzorotesha elimu yao.
Dc Muro amesema kuwa wamebaini tukio hilo baada ya kuweka mtego na kuwabaini watuhumiwa hao pamoja na mtia mimba ambao wamefikishwa polisi kwa ajili ya kufikishwa mahakamani
Akielezea jinsi alivyopewa ujauzito na kisha ujauzito kutolewa aikaeli Pallangyo amesema ni kweli alipata ujauzito Kwa kurubuniwa na kijana wanaeishi nae Jirani nyumbani ambae alikuwa akimrubuni Kwa kumpatia fedha
Kwa upande wao watuhumiwa wa sakata hilo kijana aliempa mimba Binti,pamoja na mama Mzazi wa Aikaeli na mwanamke ambae ni ndugu wa Kijana aliemp... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More