DCP LIBERATUS SABAS AZUNGUMZA NA WANAVIJIJI MKOA WA MTWARA, AKAGUA VIPENYO WANAVYOTUMIA WAHALIFU KUKIMBILIA NCHINI MSUMBIJI. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DCP LIBERATUS SABAS AZUNGUMZA NA WANAVIJIJI MKOA WA MTWARA, AKAGUA VIPENYO WANAVYOTUMIA WAHALIFU KUKIMBILIA NCHINI MSUMBIJI.

 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akitoa Elimu kwa wanakijiji wa Chikong’o, Wilayani Tandahimba, Mkoa wa Mtwara juu ya kukabiliana na wageni wanaoingia maeneo hayo wakitokea sehemu mbalimbali za Nchi na Nchi jirani ya Msumbiji hiyo itasaidia kupunguza uhalifu katika maeneo na makazi yao. Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akitoa Elimu kwa wanakijiji cha Mkaha Wilaya ya Tandahimba Mkoa wa Mtwara, juu ya kukabiliana na wageni wanaoingia maeneo hayo wakitokea sehemu mbalimbali za Nchi na Nchi jirani ya Msumbiji hiyo itasaidia kupunguza uhalifu katika maeneo na makazi wanayoishi.Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akiwa katika kijiji cha Chikong’o wilayani Tandahimba mkoani Mtwara akikagua moja ya vipenyo wanavyotumia wahalifu kuvuka kutoka nchini Tanzania kwenda Nchini Msumbiji moja ya vipenyo hivyo ni Mto Ruvuma. (Picha na Jes... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More