Degea kuuzwa dirisha hili,PSG kumpokea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Degea kuuzwa dirisha hili,PSG kumpokea

NI mwendo wa mchakamchaka dirisha hili la uhamisho. Kwingine kunawaka moto. David de Gea amewapasua vichwa mabosi wa Manchester United baada ya kugomea ofa yao ya mwisho kabisa ya mkataba mpya klabuni hapo.


Source: MwanaspotiRead More