Dereva aliyeruhusu nyani kuendesha basi afutwa kazi India - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dereva aliyeruhusu nyani kuendesha basi afutwa kazi India

Kwa mujibu wa walioshuhudia, nyani alipanda gari na abiria mwingine lakini akakataa kuketi nyuma bali mbele ya basi.


Source: BBC SwahiliRead More